Hii nadhani ni mabibo sokoni ali maarufu kama mahakama ya ndizi...zamani wakati soko likiwa linajiendesha chini ya Urafiki ilikua rahisi kufanya marekebisho...ila toka serikali iingie ni uchafu mtupu...Mfano ni choo cha kulipia kilichopo katikati ya soko kabla ya serikali kuingia kilikua ni kisafi na marekebisho yanafanyika pindi yanapohitajika...sasahivi ukitaka kwenda hapo lazima uzibe pua...au ujitembeelee zako vyoo vya nje...tunaweza kuilamu sana serikali..ila Tatizo ni watendaji wabovu wametanguliza tumbo na uchawa mbele huku uwezo wao wa kufikiri na kuleta mabadiliko chanya kwa jamii wakiweka mfukoni...leo hii wanataka Bibilia irudiwe kuandikwa ili iweze kumsifia Mama Samia..Looh.