Blockchain
JF-Expert Member
- Feb 27, 2026
- 947
- 2,669
ππ mbona kwingine mbapita peku peku bila kinyaaaa... ila watu banaaaWeee hapana ni kinyaa sana
Huko kwingine ni wapi ?ππ mbona kwingine mbapita peku peku bila kinyaaaa... ila watu banaaa
πππ unapajuaHuko kwingine ni wapi ?
Huenda penyewe ni pasafi
Sio kama soko la mabibo
Mchumbaπ₯°Wenzao mabibo wamechukua kama fursa ukienda sokoni kuna gumboots
Una lipia then unaingia sokoniπ
Aipajui ni wapiπππ unapajua
Umeshachangia mada ?Mchumbaπ₯°
Inasikitisha sanaUmeshachangia mada ?
Ni huzuniInasikitisha sana
hata najua basi ππAipajui ni wapi
πhata najua basi ππ
Bila shaka hapa ni Dar es Salaam.. π€.Wapi hii?
Hi haina madhara ki afya,gumboot moja kwa siku wanavyaa wangapi....tusije kuambukizana magonjwaWenzao mabibo wamechukua kama fursa ukienda sokoni kuna gumboots
Una lipia then unaingia sokoniπ
Unavalishwa mfuko kwanza mkuuπHi haina madhara ki afya,gumboot moja kwa siku wanavyaa wangapi....tusije kuambukizana magonjwa