SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
The nyang'aus dont care !!!!
Hiyo miwa inaenda kukamuliwa juice na binadamu watakunywa!
Fangasi kuvaliana mabinti.Wenzao mabibo wamechukua kama fursa ukienda sokoni kuna gumboots
Una lipia then unaingia sokoni😁
Halafu Chalamila yupo na kichwa chake kama tunguli kazi yake kutukana tu.
Kazi sanaFangasi kuvaliana mabinti.
Niko Kaskazini Unguja 🤣Upo mkoa gani nikutumie 😁