Picha: Ukistaajabu ya Kajala na Wema, utayaona ya Wastara na Wolper

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kweli nimeamini samaki mmoja akioza wote huoza, hadi wewe wastara? Hukumbuki wolper alivyohangaika na marehemu mume wako? Dada wa watu akajitolea mamilion ili mume wako akatibiwe India? Umesahau wema wote hadi ukalia nachozi na kumuona wolper ni Mungu mtu?

Pesa tu ndio zinakutoa utu na kukufanya uumize moyo wa mwanamke mwenzio aliyejitolea wakati una shida ili aokoe maisha ya mume wako kipenzi japokuwa haikuwezekana (Mungu ailaze roho ya marehemu peponi ), inasikitisha na kuumiza sana, kuna watu wa kufanya huu unyama ila sio wewe wastara.

Unadhani wolper atakuwa anakufikiliaje? Achilia mbali mapungufu yake mengine, ata kama waliachana haileti picha nzuri kuwa na mahusiano na ex wa wolper, bora angefanya mtu mwingine lakini sio wewe, hakuna mtu unayepaswa kumheshimu kama wolper, ni kama ndugu yako.

Mbaya zaidi huyo Mchumba wako ambae mnadai mnataka kuoana anamtolea maneno machafu wolper eti alikuwa anapiga sana mzinga anaomba mpaka elfu 20 na ana tabia chafu, ivi unajisikiaje? Ila kumbuka muosha huoshwa.
 

Attachments

  • 1427022426986.jpg
    71.1 KB · Views: 2,901
Duuu...wastara kwa hili unajishushia heshima
 
Huu ubuyu mtamuujeeee! Aisee nyege haichagui status, whether wewe ni mjane kama Wastara, kigoli kama Lulu (Komba, Kanumba).
Umenikumbusha mbaliiii kipindi kile Wolper the grinder alikua na Dallas akatoa minoti kibaoo hapo wasanii wengine walijikausha.
IVI WANAUME DAR WACHACHE EEE, KUWENI WAJANJA KAMA LULU ANAKULA VICHWA VYA MIKOANI SKU IZIII
 

Wastara katisha, sio njaa izi, sasa ivi yuko busy mwenyewe uko insta akipost picha za nguo na viatu kwenye duka alilohongwa na bwana wa wolper, mmh kweli mjini patamu
 

Pesa tamu binamu, watu wanauana, sembuse kuibiana mb0
 
Wastara katisha, sio njaa izi, sasa ivi yuko busy mwenyewe uko insta akipost picha za nguo na viatu kwenye duka alilohongwa na bwana wa wolper, mmh kweli mjini patamu

Huyo jamaa ni nani istoshe hiyo ki2 haina makombo kizazi cha wahongaji kimepotea acha wabanane kimjinimjini
 
Camera roll action...... kwa mara nyingine mademu bongo movie wanazingua sana wacha wafe oooh! kifua kilimbana ndo kisingizio chao kikuu cku hizi.
 
Sijui kwanini ila sijawahi kumpenda wastara kabisa pamoja na kuigiza kwake kote scene/movie za kuhuzunisha.
Kitendo alichokifanya ni kibaya sana.Haipendezi hata kidogo kwa mtu ambaye alikusaidia vile.Nakumbuka Wolper alitoa ml. 15.
 
Camera roll action...... kwa mara nyingine mademu bongo movie wanazingua sana wacha wafe oooh! kifua kilimbana ndo kisingizio chao kikuu cku hizi.
Hahahaaa, acha wauane.Sasa hivi wanaona poa tu, ngoja waanze kuugua.
 
Tatizo madada wa bongo movie asilimia kubwa wapo kibiashara zaidi.
 
Tushasema hapa,hakuna mtu mnafki kama mwanamke na adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…