Picha: Ukistaajabu ya Kajala na Wema, utayaona ya Wastara na Wolper

Picha: Ukistaajabu ya Kajala na Wema, utayaona ya Wastara na Wolper

Sijui kwanini ila sijawahi kumpenda wastara kabisa pamoja na kuigiza kwake kote scene/movie za kuhuzunisha.
Kitendo alichokifanya ni kibaya sana.Haipendezi hata kidogo kwa mtu ambaye alikusaidia vile.Nakumbuka Wolper alitoa ml. 15.

Million kumi na sita shoga yanguuu.....kasahau saa iz wanampiga Wolper vijembe.
 
Million kumi na sita shoga yanguuu.....kasahau saa iz wanampiga Wolper vijembe.

Mmh! Sasa ivi yuko busy mwenyewe insta ana post nguo za biashara, nyie pesa izi zitawaua watu, usikute kafurai mme wake alivyokufa, maana nae siku izi sijui kawaje, sio umalaya huu
 
Huyo jamaa ni nani istoshe hiyo ki2 haina makombo kizazi cha wahongaji kimepotea acha wabanane kimjinimjini

ANaitwa mark cjui, ni jamaa mmoja mwenye pesa zake tu apa mjini anayechezea uchi wa dada zetu atakavyo
 
Hahahaaa, acha wauane.Sasa hivi wanaona poa tu, ngoja waanze kuugua.

Wastara kiboko, mguu mmoja si mbovu jamani? Bado tu anaendelea kumanua?? Mhh nyie hapana kwa kweli khaaa sio genye wala njaa izi
 
Tushasema hapa,hakuna mtu mnafki kama mwanamke na adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie...

Anahangaika yakimkuta uko ataanza kuhangaika kutangaza shida kwenye ma Tv, maana yule nae kwa kupiga mizinga hajambo, mi jamani namuonea huruma tu ule mguu, ivi hajionei huruma kumanua manua jaman? Khaa na anayaweza, tusisikie tu akijiliza kuomba msaada aishie uko uko na usaliti wake nfyuuu
 
Huyo jamaa ni nani istoshe hiyo ki2 haina makombo kizazi cha wahongaji kimepotea acha wabanane kimjinimjini

Mi namuonea huruma mguu wake tu, mtu una watoto 3,kila mtu.na baba yake, ana ndoa tatu sijui, tena bado anataka kuolewa, ivi ajionei huruma wanaume wenyewe matapeli, nyie huyu wastara sio mzima kwa kweli
 
Hahahaaa, acha wauane.Sasa hivi wanaona poa tu, ngoja waanze kuugua.

Mwenzio anataka kuolewa tena, nyie wastara kiboko, si ana ndoa tatu sijui nne? Khaa huyu na dida wana pepo la ndoa, wangewapa basi wakina zamaradi na ray c hilo pepo la ndoa, maana zena na betina wale wanatamani kweli kuolewa
 
Wastara na wolper walewale tu ila mleta mada kailemba kama na yy yumo
 
We ni zaidi ya manager katika kazi, ni zaidi ya rafiki katika upendo kwa kweli mungu ni mwema kwa kukuleta duniani na ninaimani anakila sababu za kukufanya uishi miaka mingi ukiwa na afya njema, furaha na mafanikio zaidi
Nafurahia kuwa nawe karibu maishani mwangu. Happy birthday my Manager, my Director, my Friend, my boy and my Lov
Happy birthday Bond_bin_sinnan
 
Attachments

  • 1427064764868.jpg
    1427064764868.jpg
    58.2 KB · Views: 654
Last edited by a moderator:
Wastara kiboko, mguu mmoja si mbovu jamani? Bado tu anaendelea kumanua?? Mhh nyie hapana kwa kweli khaaa sio genye wala njaa izi

wastara ni kicheche tuuu
sajuki ndo alimtuliza ndo maana aliolewa mdogo
 
Wastara kiboko, mguu mmoja si mbovu jamani? Bado tu anaendelea kumanua?? Mhh nyie hapana kwa kweli khaaa sio genye wala njaa izi
Hahahaaa, mguu mbovu lakini?
 
Huyu wastara naeeee..si atulize kinembe..alele watoto wake..kabila gn huyu.???
 
Huyu wastara naeeee..si atulize kinembe..alele watoto wake..kabila gn huyu.???
Hahahaaa uwiiii! Mwenyewe anadai hana shida ya pesa bali anataka faraja (mwanaume )
 
Yeah warumi najua wastara alikatwa mguu baada ya ile ajali aliyopata na Sajuki.
Ila nasikia kuna jamaa wa kipema alikua naye ndio akamuacha akawa na Sajuki sasa jamaa akaapa kumfanyizia.Sasa jiongeze hapo.
 
Last edited by a moderator:
ANaitwa mark cjui, ni jamaa mmoja mwenye pesa zake tu apa mjini anayechezea uchi wa dada zetu atakavyo

Binamu jamaa ndio anachezewa mana anagharamia mpka anamfungulia biashara mwisho w cku ni kma dallas hana hata mia
 
Back
Top Bottom