Sijui kwanini ila sijawahi kumpenda wastara kabisa pamoja na kuigiza kwake kote scene/movie za kuhuzunisha.
Kitendo alichokifanya ni kibaya sana.Haipendezi hata kidogo kwa mtu ambaye alikusaidia vile.Nakumbuka Wolper alitoa ml. 15.
Million kumi na sita shoga yanguuu.....kasahau saa iz wanampiga Wolper vijembe.
Tushasema hapa,hakuna mtu mnafki kama mwanamke na adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie...
Huyo jamaa ni nani istoshe hiyo ki2 haina makombo kizazi cha wahongaji kimepotea acha wabanane kimjinimjini
Hahahaaa, acha wauane.Sasa hivi wanaona poa tu, ngoja waanze kuugua.
Wastara kiboko, mguu mmoja si mbovu jamani? Bado tu anaendelea kumanua?? Mhh nyie hapana kwa kweli khaaa sio genye wala njaa izi
Hahahaaa, mguu mbovu lakini?Wastara kiboko, mguu mmoja si mbovu jamani? Bado tu anaendelea kumanua?? Mhh nyie hapana kwa kweli khaaa sio genye wala njaa izi
Hahahaaa uwiiii! Mwenyewe anadai hana shida ya pesa bali anataka faraja (mwanaume )Huyu wastara naeeee..si atulize kinembe..alele watoto wake..kabila gn huyu.???
ANaitwa mark cjui, ni jamaa mmoja mwenye pesa zake tu apa mjini anayechezea uchi wa dada zetu atakavyo