Uchaguzi 2020 Picha: Ukumbi wa Mlimani City ukiwa tayari kwa Vikao vya Maamuzi CHADEMA kuanzia kesho, taratibu za kujilinda na COVID-19 zimezingatiwa

Uchaguzi 2020 Picha: Ukumbi wa Mlimani City ukiwa tayari kwa Vikao vya Maamuzi CHADEMA kuanzia kesho, taratibu za kujilinda na COVID-19 zimezingatiwa

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Hatimaye dimba limekamilika kwa ajili ya vikao vya kuanzia hapo kesho. Kila kitu kimezingatiwa ikiwemo taratibu za kujikinga na Corona.

Picha za awali zilizotumwa (Isipokuwa ya meza kuu ambayo inajumuisha viongozi wakuu wa chama) ni za vikao vilivyowahi kufanyika siku za nyuma yaani vya Uchaguzi wa viongozi ndani ya chama.

20200802_193537.jpg
 
Wamekopa au wamelipa cash ukumbi? Hatutaki madeni baada ya Uchaguzi
Hili nalo neno. Shida inaanziaga hapa. Huu ndo muda wa Mwenyekiti kufanya yake. Lakini sasa hivi atakua makini sana maana hana uhakika na ruzuku.
 
Naomba kujuzwa, je pana hoteli/gesti nzuri karibu na mlimani city? kama zipo, majina ya hoteli na hadhi zake tafadhali.
 
Back
Top Bottom