Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Pole sanaUkiiona full kuchetuka na kutamani Makamanda waje kukuchapa nao
Unasumbuliwa na maradhi gani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanaUkiiona full kuchetuka na kutamani Makamanda waje kukuchapa nao
Sina muda wa kupoteza na Ma BwabwaPole sana
Unasumbuliwa na maradhi gani ?
Pole sana.Sina muda wa kupoteza na Ma Bwabwa
Leo nna bahati mbaya sana ya kuwa quoted na BwabwaPole sana.
Kwa hiyo umepewa matibabu gani ?
Pole sana.Leo nna bahati mbaya sana ya kuwa quoted na Bwabwa
waturushie live jamani na wao tuwaone.Hatimaye dimba limekamilika kwa ajili ya vikao vya kuanzia hapo kesho. Kila kitu kimezingatiwa ikiwemo taratibu za kujikinga na Corona. Picha za awali zilizotumwa (Isipokuwa ya meza kuu ambayo inajumuisha viongozi wakuu wa chama) ni za vikao vilivyowahi kufanyika siku za nyuma yaani vya uchaguzi wa viongozi ndani ya chama.
View attachment 1525198
Naamini mh mbowe ni mtu makini anatembea na hisia za watanzania naamini atatutendea haki atatuletea atatuletea mh lisu kipenzi cha watanzaniaWakuu sijui kwanini moyo wangu unakuwa mzito hivi, nina wasiwasi hawa wajumbe hasa mikoani wanaweza kupindua meza wakampa Nyalandu.
Aisee ikifika stage hiyo ni heri udikteta utumike wakuu apite Lissu kipenzi cha watanzania.
Naamini mh mbowe ni mtu makini anatembea na hisia za watanzania naamini atatutendea haki atatuletea mh lisu kipenzi cha watanzaniaWakuu sijui kwanini moyo wangu unakuwa mzito hivi, nina wasiwasi hawa wajumbe hasa mikoani wanaweza kupindua meza wakampa Nyalandu.
Aisee ikifika stage hiyo ni heri udikteta utumike wakuu apite Lissu kipenzi cha watanzania.
Yaani huyu Musiba! Hakika ningekuwa muhusika wa ile michezo ya Lamu na Mombasa ningemtafuta nimchape bila KY au Vaseline.Waweke ulinzi Cyprian Musiba na magaidi wenzake wasijetega mabomu maana akili ya ni kumwaga damu tu kama alivyokuwa anatamba.
Wanao wakopesha Chadema wanawaamini kuwa ni walipaji.Wamekopa au wamelipa cash ukumbi? Hatutaki madeni baada ya Uchaguzi
Kumbe lina baa bubu? Tapeli utamjua tuu, walinshindwa Chadema kwa utapeli na huko yatampata ya Lijualikali &coHamtaki wewe nani? Huko CCM hawakutaki kwa udokozi uliofanya Chadema,wewe jikite tu kwenye biashara yako ya mama lishe na bar bubu, achana kabisa na Chadema.
rangi ni utambulisho wa tofaut na wengne pia katka katiba ya cdm nyekundu inamaanisha kukumbuka damu iliyomwagika na mashujaa kutetea uhuru wa tz na demokrasiaRangi nyekundu kwenye bendera ya Chadema uwa inafikirisha sana.
Una stress za nini kiongozi ?Acha ushamba rangi ni utambulisho wa tofaut na wengne pia katka katiba ya cdm nyekundu inamaanisha kukumbuka damu iliyomwagika na mashujaa kutetea uhuru wa tz na demokrasia
Final rang si issue issue ni maendeleo n demokrasia
Ccm mnamuogopa sana Lissu, sijui tatizo niniOle wenu mtuchagulie Lisu