Uchaguzi 2020 Picha: Ukumbi wa Mlimani City ukiwa tayari kwa Vikao vya Maamuzi CHADEMA kuanzia kesho, taratibu za kujilinda na COVID-19 zimezingatiwa

Uchaguzi 2020 Picha: Ukumbi wa Mlimani City ukiwa tayari kwa Vikao vya Maamuzi CHADEMA kuanzia kesho, taratibu za kujilinda na COVID-19 zimezingatiwa

Na kwenye kampeni tutazingatia tahadhari ya corona

Mungu Ibariki Tz - MITz
 
Hatimaye dimba limekamilika kwa ajili ya vikao vya kuanzia hapo kesho. Kila kitu kimezingatiwa ikiwemo taratibu za kujikinga na Corona. Picha za awali zilizotumwa (Isipokuwa ya meza kuu ambayo inajumuisha viongozi wakuu wa chama) ni za vikao vilivyowahi kufanyika siku za nyuma yaani vya uchaguzi wa viongozi ndani ya chama.
View attachment 1525198
waturushie live jamani na wao tuwaone.
 
Wakuu sijui kwanini moyo wangu unakuwa mzito hivi, nina wasiwasi hawa wajumbe hasa mikoani wanaweza kupindua meza wakampa Nyalandu.

Aisee ikifika stage hiyo ni heri udikteta utumike wakuu apite Lissu kipenzi cha watanzania.
Naamini mh mbowe ni mtu makini anatembea na hisia za watanzania naamini atatutendea haki atatuletea atatuletea mh lisu kipenzi cha watanzania
 
Wakuu sijui kwanini moyo wangu unakuwa mzito hivi, nina wasiwasi hawa wajumbe hasa mikoani wanaweza kupindua meza wakampa Nyalandu.

Aisee ikifika stage hiyo ni heri udikteta utumike wakuu apite Lissu kipenzi cha watanzania.
Naamini mh mbowe ni mtu makini anatembea na hisia za watanzania naamini atatutendea haki atatuletea mh lisu kipenzi cha watanzania
 
Tumeshawasili Dar tayari kumpitisha Nyalandu. Kanda ya magharibi tumeyakataa maagizo kutoka juu.
#PEOPLES POWER.
 
Waweke ulinzi Cyprian Musiba na magaidi wenzake wasijetega mabomu maana akili ya ni kumwaga damu tu kama alivyokuwa anatamba.
Yaani huyu Musiba! Hakika ningekuwa muhusika wa ile michezo ya Lamu na Mombasa ningemtafuta nimchape bila KY au Vaseline.
Ni mtu mshenzi sana asiyestahili kufanyiwa staha
 
Mbowe kashindwa kabisa kujenga ukumbi wa chama au anakuaga na 10% kwenye huu ukodishaji?
 
Hamtaki wewe nani? Huko CCM hawakutaki kwa udokozi uliofanya Chadema,wewe jikite tu kwenye biashara yako ya mama lishe na bar bubu, achana kabisa na Chadema.
Kumbe lina baa bubu? Tapeli utamjua tuu, walinshindwa Chadema kwa utapeli na huko yatampata ya Lijualikali &co
 
Rangi nyekundu kwenye bendera ya Chadema uwa inafikirisha sana.
rangi ni utambulisho wa tofaut na wengne pia katka katiba ya cdm nyekundu inamaanisha kukumbuka damu iliyomwagika na mashujaa kutetea uhuru wa tz na demokrasia

Final rang si issue issue ni maendeleo n demokra
 
Acha ushamba rangi ni utambulisho wa tofaut na wengne pia katka katiba ya cdm nyekundu inamaanisha kukumbuka damu iliyomwagika na mashujaa kutetea uhuru wa tz na demokrasia

Final rang si issue issue ni maendeleo n demokrasia
Una stress za nini kiongozi ?
 
Back
Top Bottom