Kwani ni Kosa kukopa?Wamekopa au wamelipa cash ukumbi? Hatutaki madeni baada ya Uchaguzi
Hamtaki wewe nani? Huko CCM hawakutaki kwa udokozi uliofanya Chadema,wewe jikite tu kwenye biashara yako ya mama lishe na bar bubu, achana kabisa na Chadema.Wamekopa au wamelipa cash ukumbi? Hatutaki madeni baada ya Uchaguzi
Hili nalo neno. Shida inaanziaga hapa. Huu ndo muda wa Mwenyekiti kufanya yake. Lakini sasa hivi atakua makini sana maana hana uhakika na ruzuku.Wamekopa au wamelipa cash ukumbi? Hatutaki madeni baada ya Uchaguzi