LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kama wajumbe wataamua nyalandu apewe, ndo demokrsia.ila Jpm ataenda kulala, maana uchaguzi utakuwa umekwishaWakuu sijui kwanini moyo wangu unakuwa mzito hivi, nina wasiwasi hawa wajumbe hasa mikoani wanaweza kupindua meza wakampa Nyalandu.
Aisee ikifika stage hiyo ni heri udikteta utumike wakuu apite Lissu kipenzi cha watanzania.
Kwangu ole wao watuchagulie nje ya lissuOle wenu mtuchagulie Lisu
Hatutaki wewe na nani kwani wewe ninkama nani dogo pole sana hujateuliwa tuWamekopa au wamelipa cash ukumbi? Hatutaki madeni baada ya Uchaguzi
Duuh, una roho ngumu kwel kweli mkuu. Wewe ni roho ya 'paka!Hiyo ndiyo cdm ninayo ijua mimi chama dume kinacho wafanya mataga kukosa usingizi.
Hutaki madeni wewe ni nani kwenye CHADEMA?Wamekopa au wamelipa cash ukumbi? Hatutaki madeni baada ya Uchaguzi
Wewe na Nani?? Kwani wewe ulishamlipa yule jamaa uliyemzulumu PESA zake za kazi mlioifanya chamani kipindi kile?? Hebu kazoe taka hapo lumumbaWamekopa au wamelipa cash ukumbi? Hatutaki madeni baada ya Uchaguzi
Hatimaye dimba limekamilika kwa ajili ya vikao vya kuanzia hapo kesho. Kila kitu kimezingatiwa ikiwemo taratibu za kujikinga na Corona.
Picha za awali zilizotumwa (Isipokuwa ya meza kuu ambayo inajumuisha viongozi wakuu wa chama) ni za vikao vilivyowahi kufanyika siku za nyuma yaani vya Uchaguzi wa viongozi ndani ya chama.
View attachment 1525198
Najua unathamini mchango wa EL 2015. Ila mwaka huu wabunge wakizidi Sana Saba.Cdm haikuazishwa jana, imepitia mikutuo kibao na hasa mikutuo ya kuanzia mwaka 2015 hadi sasa.
Kingekuwa chama cha kuokoteza kingesha jiunga na kina TLP, NCCR, CUF, NLD,
Ilikuwa jina lijasomwa kwa waandishi wa bahari tu..Kwani chaguzi zilizopita ilikuaje?
Zamani haikuwepo,hii ni baada ya kujiunga na vyama vya siriRangi nyekundu kwenye bendera ya Chadema uwa inafikirisha sana.
Kiboko yako Wajumbe tuWamekopa au wamelipa cash ukumbi? Hatutaki madeni baada ya Uchaguzi
Kwa kura za Urais matokeo yanajulikana. Tayari WAJUMBE wanaingia na jina la mtu wao walioelekezwa. Kwa wiki nzima tumewasikia na tumewaelewa. Hata wagombea wenza hilo wanalijua wanaona aibu kujitoa😂😂😂Kwa Mara ya kwanza CDM wanafanya hivi katika chaguzi za Urais... Tuone matokeo yatakavyo kuja na Kama watabaki wamoja.
Najua unathamini mchango wa EL 2015. Ila mwaka huu wabunge wakizidi Sana Saba.
Ilikuwa jina lijasomwa kwa waandishi wa bahari tu..
Mlimani City si mbali sana na Sinza huko Kuna Guest za kila rangiNaomba kujuzwa, je pana hoteli/gesti nzuri karibu na mlimani city? kama zipo, majina ya hoteli na hadhi zake tafadhali.
Umeingia kwenye vijisiasa uchwara sama wewe ndugu.Wamekopa au wamelipa cash ukumbi? Hatutaki madeni baada ya Uchaguzi
Bulaya amesema anaependwa na wengi ndiye atakae pita.Kila mtu na utabiri wake lkn naamini hapo ni mh Lissu
Mlima I City si mbali sana na Sinza huko Kuna Guest za kila rangi