Picha: Umegundua nini kuhusu Harmonize?

Ila alikiba ni kauzu, mjeuri na mjivuni sana ndo maana hata huko insta amekataa ku m follow mtu yoyote, hata wasanii wakubwa kwake!!!

Hio picha ya pili jamaa alimkataa harmonize vibaya sana
Aahaaa
 
Kwa diamond kila goti litapigwa yeye sio wa kwanza na hatokuwa wa mwisho kuomba radhi kwa Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…