Mtoto Akiwa Mchnanga kama Alivyo NILLA mwenye haki ya kumuangalia Na Kusema huyu ni mtoto wetu au sio wetu ni Mama Ake Diamond na Shangazi zake Diamond basi! Hao ndio wenye mamlaka hayo Diamond hata akikataa mtoto hao wakisema huyu ni mwanao basi ni mwanao kweli!
Mama Diamond hakuenda South kumsaidia Tuu Zari kujifungua bali ni kumkagua pia mtoto na kujua kama ni Wao au sio Wao ndio maana Kukawa na 40 kama mama Diamond angesema sio mtoto wao basi hata hiyo 40 ingekuwepo!
Labda tuwekee picha ya Diamond alivyo kuwa mtoto umri sawa na Nilla halafu tuwekee na Picha Ya IVAN alivyo kuwa mtoto kama Nilla then tuangalie ila kumringanisha Diamond anae fanya Mazoezi kila kukicha kumaintain Body yake na Kumringanisha na Mtoto anae nyonya na Kula tuu maishaa hajui chochote hana mawazo ni Ujinga! Kumuweka na mtu mwenye maisha yake anae kula kila anachotaka hadi shavu linamtoka ni ujinga pia!)18010
Msisahau hata Tiffa mlianza hivi hivi ila kadri siku zinavyokwenda Siwaoni tena! Wekeni akiba ya Maneno Yenu......Nyie mnahangaika kumchafua Diamond lakini naamini IVAN ndo mtu alie sumbuliwa sanaa ili Amchafue Diamond lakini yupo kimya!