KabisaNakitanda hakizai haram mbali na hilo mtoto wa dada yako ndio ndugu yako
Mkuu anagalia vizur na ushabiki weka pembeniMbona anafanana na diamond kbs? Tatzo mmetawaliwa na chuki binafsi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu bi Sandra hana mashavu ya hivoMashavu ya bi Sandra.
Mkuu anagalia vizur na ushabiki weka pembeni
Wala hata siangaiki nimeshare na nyinyi kile nilichokikuta sehemu, relax mkuu [emoji2] [emoji2]Endelea kuangaika kuunganisha mapicha wakati wenzio full raha
Yaani limbwata la kiganda ni nyokooilo swali linawahusu wote, mond na ivan lakini kwa mond ajiulize mara tatu tatu zaidi
Yaani bora hata wasingemuonyesha huyo Mtoto aibu tupuNimeona hata Mange ameiweka, sijui Diamond anajisikiaje?
Laana???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kunichekesha mkuuUna watoto wangapi,kama hauna hata mmoja acha kujitafutia laana kwa sifa za mitandaoni
Halafu watu waki comments kwenye page ya mama kuwa amsamehe mzazi mwenzie wale matunda pamoja mbona anakuja juu sana?Yaani bora hata wasingemuonyesha huyo Mtoto aibu tupu
Mkuu nashangaa watu bado hawaamini, yaani wabongo wamecharuka kwenye hiyo mpaka zari kachanganyikiwa anaanza kuwajibuCheki pua ya diomond imelala doro ya mtoto na ivana zinafanana, macho mashavu utasema nn hapo dogo kapigwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] limbwata hadi upofu wa macho aioni sura mtoto vizuriYaani limbwata la kiganda ni nyokoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] laana ndo kama hiiHalafu watu waki comments kwenye page ya mama kuwa amsamehe mzazi mwenzie wale matunda pamoja mbona anakuja juu sana?
Mkuu mim cyo mshabiki wa diamond ila nimeongea nilichokiona,huyo mtoto anafanana sana na diamond. Nionavyo mim lakini.Mkuu anagalia vizur na ushabiki weka pembeni
Laana???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kunichekesha mkuu
Kina roho mbaya, pia Diamond akili hana au msimamo, yale yake ya Kanumba alimtenga baba yake, laana ikamrudia[emoji23] [emoji23] [emoji23] laana ndo kama hii