Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Cheki pua ya diomond imelala doro ya mtoto na ivana zinafanana, macho mashavu utasema nn hapo dogo kapigwa
Mkuu nashangaa watu bado hawaamini, yaani wabongo wamecharuka kwenye hiyo mpaka zari kachanganyikiwa anaanza kuwajibu
 
Mkuu maisha yangu na yako ni ya hivi
16908455_192129411273166_6037235511360225280_n.jpg

Wivu kwa mtu kama huyu ni
16908532_644981905689096_5391261490760122368_n.jpg
kujipa stress tu
Laana???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kunichekesha mkuu
 
Back
Top Bottom