Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,764
- 2,366
mmhh!!!..ngoja nichukue jembe langu....nikapande matembele mie......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmhmmhh!!!..ngoja nichukue jembe langu....nikapande matembele mie......
Imekutekenya kumoyo eti eeh bas sawa[emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji13] [emoji13]
Usinihurumie mm muhurumie diamond, kulea Mtoto wa mwanaume mwenzio sio kitu kidogo kinahitaji ujasiri wa kutosha
View attachment 474822
Mimi binafsi nimekosa cha kuongea kama diamond anaamini huyu Mtoto ni wa kwake basi hili limbwata sio La nchi hii, Ila huyu Ivan ana damu kali sana
So conclusion yako ni ipiHapa kuna mawili.....la kwanza inaelekea Diamond hazai na ndiyo maana anapenda sana watoto wa kubambikiwa ili awaringishie mademu alioachana nao. Pili; inaelekea dogo alikosa malezi ya kulelewa na baba kwani watu wa dizaini hii uwa wanapenda sana kulea watoto.
Pole kw ww unaekalia kila sku ksem ya wenzko haf ya kwko hjuiMkuu pole kwa nan cjaelewa, kwa Ivan au mond??
[emoji2] [emoji2] A na B yote majibuHapa kuna mawili.....la kwanza inaelekea Diamond hazai na ndiyo maana anapenda sana watoto wa kubambikiwa ili awaringishie mademu alioachana nao. Pili; inaelekea dogo alikosa malezi ya kulelewa na baba kwani watu wa dizaini hii uwa wanapenda sana kulea watoto.
Nasema ya wenzangu kina nani?? Kwani diamond maisha yake personal tungeyajuaje kama sio yeye kuyaweka public by the way wamesemwa macelebrity kibao itakuwa huyo diamond alafu kwenye ukweli usemwe Mtoto ni wa IvanPole kw ww unaekalia kila sku ksem ya wenzko haf ya kwko hjui
Sisi hilo halituhusu tunaongelea hii copy ambayo iko mubasharaHivi wale watoto watat wa ivan wote wanafanan na ivan mbna hilo hamuongelei ..
Ww sio bure umelelewa na baba wa kambo ndo mana hayo mawazo unayoSisi hilo halituhusu tunaongelea hii copy ambayo iko mubashara
Mkuu umenikumbusha pia kitabu kmoja "black mamba" jamaa alimpeleka mke wake kwa lecture wa kizungu akawa anatembea naye ili wapige hela, imeandikwa na john luganda wa huko uganda kama sijakoseaKuna movie niliangalia Tajiri katongoza mke wa tajiri mwenzie, mke akamwambia mkewe mkubalie tupige pesa, Tajiri mtongozaji alipigwa tukio hajaamini kwa usirikiano wa mke na Mme. Hii muvi inasumbia akili yangu kuhusu hii couple
Post ina husu nini miss???Makaburi ya nn