Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Pole ukweli umekupata eeh. Lala na hii albam
16789508_266403857125927_2569200001393623040_n.jpg
16908342_255239278258751_7027421791748358144_n.jpg
16906156_1411674965543124_709340894343462912_n.jpg

[emoji23] [emoji23] [emoji23] timu madale punguza mapovuu
Ukiamka endelea kujisifu kwa drama za hawa
14590956_222547334878259_4238655215277965312_n.jpg
 
Mpaka 2020 tunahitaji ongezeko la hospital za vichaa, kama trump anatakiwa apimwe akili we unatakiwa ukahifadhiwe mirembe,..... Au unaviaga viroba maana hizi ndo tarehe za goodbye
Vichaa nyie mashabiki mandazi mnaomjaza ujinga mwenzenu eti Mtoto wake,
 
Huyo mtt ni diamond kabixa wabongo tumewazoea mlianza diamond anauwezo wa kumpa mwanamke mimba mkashika bango sana bahati nzuri akapata mtt wa kiganda akanasa mimba mkaaza tena tiffa siyo mtt wa diamond ni wa katunzi Mungu Kawaibisha kila mtt akikuwa anafanana diamond paka sasa hiv mmeamia kwa nilla mtapiga kelele mtachoka huyo mtt ni diamond acheni majungu
Mkuu punguza mapovu na ushabiki weka pembeni kama wewe ni mwanaume I doubt utakuwa kama diamond maana Picha inaongea Kabisa
 
Back
Top Bottom