Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Itakua hana mtoto huyu ndio maana anafanya dhihaka kwa watoto wa wenzie(team wema bana akili zao sawa na za boss wao)
We ukiwa na mateam mandazi unafikiri wote tupo kundi kama lako, kwani dhihaka ipi nilioifanya kuonyesha baba halali wa Mtoto?? Ooh come on, kwani we unavoona Mtoto yuko Uganda au tandale[emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2]
 
Rais ajitahidi kufungua viwanda watu tufanye kazi mnk kila uchwao ni mondi,tifa,zari blah! Mshaambiwa nyie yanawahusu nn?
 
Mbona povu limekutoka sasa nilipotaja teams hahaa my dear kumbuka kuna kitu kinaitwa karma pole sana kisebengo cha mtandaoni kitakukost.

We ukiwa na mateam mandazi unafikiri wote tupo kundi kama lako, kwani dhihaka ipi nilioifanya kuonyesha baba halali wa Mtoto?? Ooh come on, kwani we unavoona Mtoto yuko Uganda au tandale[emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2]
 
Hata mtoa mada nae anajuaje km yule aliemlea n baba ake kbsa usihukum kw mwenzko wakat hata ww hjui kua aliekulea ni baba ako kwa kwen wote mmefanana watoto wote kama vyura
Hahahaaa vibaraka wa madale mapovu yanawatokaa
 
Bravooo. Kana wivu haka kisa zari anatawala madale
Diamond mpaka akugonge na ww ili ikukae uache wivu wa kike
Jibu murua
Hata mtoa mada nae anajuaje km yule aliemlea n baba ake kbsa usihukum kw mwenzko wakat hata ww hjui kua aliekulea ni baba ako kwa kwen wote mmefanana watoto wote kama vyura
Hawa jamaa wana akili sana. Pole to ur daddy kumbe yalishawahi kukutokea bana(sorry bana kwa usumbufu wa kukuelewesha)
Usinihurumie mm muhurumie diamond, kulea Mtoto wa mwanaume mwenzio sio kitu kidogo kinahitaji ujasiri wa kutosha
 
Back
Top Bottom