Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani amemtuma kuitangaza
Sasa Aibu gani bana acheni ushamba yaani mtu kucheza mziki ndo Aibu.Acheni roho mbaya zenu nyeusi.
Kama kuna nchi raia wake kuwaongoza ni ngumu na wamejaa roho mbaya kuanzia mtàani Hadi kazini ni Tz.Nimezunguka nchi kadhaa za east Africa,mf Uganda,jamaa wakikuona unakitu kizuri kama ndinga Kali wanakupongeza halafu wajanja watakufata "imekuwaje ukatoboa aisee"huku bongo utasikia aaah Yule freemason,mara ameua mdogo wake mwezi uliopita.Hii video ukiiangalia ukiwa na chuki na Mwijaku utaanza kuponda tu. Ila hakuna cha ajabu alichokifanya, je mnajua waliompeleka walitaka afanye nini na nini!?,je Kuna kashfa katoa au sheria kavunja!?, watanzania wengine ni wa hovyo, watu mmejaa visirani tu na hii yote sababu ya kufatiliana na kutokuwa bize sana na mambo yako. Kipindi cha JPM niliwahi kumkuta mdada mmoja amevimba anataka kulia kabisa, nikamuuliza vipi mbona uko hivyo!?,akaniambia ana hasira kumuona Makonda kwenye Tv na kwanini hatumbuliwi😆, nikamuuliza akitumbuliwa wewe utapata nini?,asipotumbuliwa wewe unapungukiwa nini!?,majibu hana. Ninachokiona kwenye Jamii ingetokea Mwijaku akapata ajali ufaransa akakatika mguu kuna watu wangefurahia. Ndo roho za watanzania baadhi zilivyo.
Ni roho mbaya tu ndo maana jamii imejaa mashindano ya kijingakijinga. Hiyo video ya Mwijaku haina tatizo lolote ila vijana wamechukia wanaona kama alikuwa anawatambia kuwa yupo Paris, kumbe mwenzao ametumia njia hiyo kuwafikishia ujumbe kama kuwatambia kuwa nipo Europe, basi nao wasivyo bize wamejaa kwenye laini yake. Baada ya kurudi nchini akiwa anahojiwa redioni akajibu wapi nilisema nimetumwa ufaransa na bodi ya utalii!?,kumbe yaleyale hata TTB walikurupuka tu. Akili na roho zilezile.Kama kuna nchi raia wake kuwaongoza ni ngumu na wamejaa roho mbaya kuanzia mtàani Hadi kazini ni Tz.Nimezunguka nchi kadhaa za east Africa,mf Uganda,jamaa wakikuona unakitu kizuri kama ndinga Kali wanakupongeza halafu wajanja watakufata "imekuwaje ukatoboa aisee"huku bongo utasikia aaah Yule freemason,mara ameua mdogo wake mwezi uliopita.
Nimeumia sana niliwahi panda Ethiopian Airways kutokea JHB ile ndege ikipita anga la Arusha rubani anatangaza tunapita karibu kabisa na Mlima Kilimanjaro daah wageni wrote wanaamia upande wa kulia ili kupiga picha emu fikiria ndege ya Ethiopia na rubani wa Shirika hilo anatutangazia Utalii Watanzania bila kujua wakiangalia vile wengine wanavutiwa kuja kuona Live maana hawa Wabongo kwa chuki zao eti wanamuona jamaa anachekesha kama Bodi wanaona ni rahisi tu watoke ofisini waende wakaje na wageni hata sita tuu kila mmoja kwa season sio kuja na vitu vya kijinga jinga kwenye jambo la Msingi...Ni roho mbaya tu ndo maana jamii imejaa mashindano ya kijingakijinga. Hiyo video ya Mwijaku haina tatizo lolote ila vijana wamechukia wanaona kama alikuwa anawatambia kuwa yupo Paris, kumbe mwenzao ametumia njia hiyo kuwafikishia ujumbe kama kuwatambia kuwa nipo Europe, basi nao wasivyo bize wamejaa kwenye laini yake. Baada ya kurudi nchini akiwa anahojiwa redioni akajibu wapi nilisema nimetumwa ufaransa na bodi ya utalii!?,kumbe yaleyale hata TTB walikurupuka tu. Akili na roho zilezile.
Unashangaa serikali ya CCM na utawala wake? Wewe angalia Mh. Rais wetu kaenda India na kundi la mawaziri 9 pamoja na Steve Nyerere, just imagine, mtu kama Steve Nyerere anaambatana na msafara wa Rais wa nchi huoni kama ni ukosefu wa nidhamu na kutojuwa majukumu? Steve Nyerere anaiwakilisha nchi yetu wakati hata michango ya rambirambi ya wasanii wenzake haiwakilishi kwa walengwa. CCM kwa kweli haijawahi kuwa serious na wananchi wake hata siku moja na ndiyo maana hatuwezi kuendelea as a nation under CCM rule, hata iweje.Hii Kama kajitengenezea itakula kwake, Ana operate management ipi? Hii nchi ni aibu sana aisee.