miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
yale yale ya kajala na wema kumvulia nguo mtu mmoja, jamani wanaume wameisha hivi au thamani imeongezeka mpaka wanagombewa?
Ha ha ha wanagombani hela hao sio boooooo....maana kama mipini uswahilini imejaa tena mitamu
Ya ushwahilini sio tamu maana haina matayarisho inaitwa tako tatu, mpini mzuri mpaka maandalizi ya chumba kizuri kwa operation maalum.
Anajihisi ni seleburiti
Zamaradi ndio yupi ameimba wimbo gn vileeeee
Ya laiti.......
Hahahhahaaaaaaaa mtanivunja mbavu jaman uhhh