Picha: Vita ya Ray C na Zamaradi yapamba moto

Picha: Vita ya Ray C na Zamaradi yapamba moto

Mmh pale mwenzangu wambea sie tumewashindwa, maana mambo yao mazito sana, wacha tu waoane binamu..... mmh apo kwenye ndoa ya chibu tutasubir sana

hahaaaaaaaa binamu.........., Chibu tungesubiri saaaaana aiseeeee
 
[Ndiyo maana hata kwenye birthday za watoto zao hawakualikana na walikuwa mashoga sana zamani. Naona Dinamarios hata ushoga na Gea Habib hamna tena kama zamani sijui nini mbaya.UNOTE=Heaven on Earth;12234954]hahaaaaa Zma ndio maana hanenepi.... we patia picha hadi Dina Marios
alikorofishana nae.. ana roho ya kwanini.........

akiwa kwenye interview full kuwachimba watu maswali ye akiulizwa
we anakuwaje mkali kama pilipili kichaa.........., hasa umuulize swala la baba[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom