PICHA: Vituko pale watoto wadogo wanapoachwa nyumbani na wazazi wa kiume (baba)

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2018
Posts
4,509
Reaction score
23,653
Muda mwingi mzazi wa kike (Mama) ndani ya nyumba ndio mwenye majukumu ya kuwaangalia watoto wadogo. Ila muda ambao mama anakua hayupo nyumbani basi baba ndio huchukua majukumu ya kuwaangalia watoto wadogo.

Lakini kutokana na experience kama baba, jambo hilo hua sio jambo jema (sio kwamba baba atawadhuru, ila kutokana na vurugu anazokutana nazo mtoto huyo).

Na hizi ndio sababu watu wengi husema "mtoto asiachwe peke yake na baba nyumbani".

Tupia picha zako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…