Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
Muda mwingi mzazi wa kike (Mama) ndani ya nyumba ndio mwenye majukumu ya kuwaangalia watoto wadogo. Ila muda ambao mama anakua hayupo nyumbani basi baba ndio huchukua majukumu ya kuwaangalia watoto wadogo.
Lakini kutokana na experience kama baba, jambo hilo hua sio jambo jema (sio kwamba baba atawadhuru, ila kutokana na vurugu anazokutana nazo mtoto huyo).
Na hizi ndio sababu watu wengi husema "mtoto asiachwe peke yake na baba nyumbani".
Tupia picha zako.