Picha: Wabambwa na masanduku yenye mabunda ya fedha bandia nyumbani kwao!

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Kwisha zao..! Jeshi la Polisi limewatia nguvuni Bi Nancy Muthori na Bw. Joseph Muhayo baada ya kuwabambwa na masanduku yenye mabunda ya fedha bandia nyumbani kwao mtaa wa Ruiru, Kiambu nchini Kenya.
 
Wacheza movie wanaruhusiwa kutumia pesa bandia? Utengenezaji wa pesa bandia ni haramu Labda kama sheria za kenya kama zimeruhusu

Sent using unknown device
Hivyo ndivyo ninavyofahamu..Ndo maana nikauliza je wanahusika vipi na masuala ya movie na kutengeneza?
 
kama huu mzigo wangefanikisha kuuigiza mtaani, wangetoka maisha maana naona mi us dollar ya kutosha hapo
 
Safi sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakenya utadhani wizi na utapeli wanasomea.
 
Na mpaka issue inabuma lazima kuna katika kundi lao ameponyeza kwa polisi.
kama huu mzigo wangefanikisha kuuigiza mtaani, wangetoka maisha maana naona mi us dollar ya kutosha hapo
 
Leo dogo wangu dukani wamempiga ten moja fake!sisemi ni hawa but mzunguko wote mtaani wanaweza kuwa wanaufanya wao.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…