Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Nilichoandika......Leo dogo wangu dukani wamempiga ten moja fake!sisemi ni hawa but mzunguko wote mtaani wanaweza kuwa wanaufanya wao.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mkuu mimi nadhani wenge unalo wewe,nisome hiyo sentence ya mwisho nimesemaje!
Nilishajua hapana madafu ila pia siyo Tanzania ni Kenya nilichofanya hapo ni kukazia tu hoja kwamba hawa watu tunao mitaani na hizo hela tunapishana nazo iwe kwa makusudi au bahati mbaya.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk