Picha: Wabambwa na masanduku yenye mabunda ya fedha bandia nyumbani kwao!

Picha: Wabambwa na masanduku yenye mabunda ya fedha bandia nyumbani kwao!

Leo dogo wangu dukani wamempiga ten moja fake!sisemi ni hawa but mzunguko wote mtaani wanaweza kuwa wanaufanya wao.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Nilichoandika......
Unaona pana ten hapo? acha mawenge na ka kioski kako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nadhani wenge unalo wewe,nisome hiyo sentence ya mwisho nimesemaje!

Nilishajua hapana madafu ila pia siyo Tanzania ni Kenya nilichofanya hapo ni kukazia tu hoja kwamba hawa watu tunao mitaani na hizo hela tunapishana nazo iwe kwa makusudi au bahati mbaya.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
40 zao za kubambwa au labda zilikuwa zikielekea huku kwetu maana dola zimekuwa ni adimu.
 
February 28, 2019
Nairobi, Kenya

Busted in Nairobi 32 BILLION OF FAKE MONEY AND 70KG FAKE GOLD

SEE WHAT WAS FOUND IN A HOUSE OF CONMEN MIMICKING UHURU, 32BILLION OF FAKE MONEY AND 70KG FAKE GOLD

Source: ONLINE COMMUNITY KE.

Kenya ni sehemu hatari kubadilisha au kununua forex kwa kiasi kikubwa, bora ubadilishe kiasi kidogo cha kununua 'chips funga' kama upo on transit kwenda ngambo
 
Mimi najiuliza, kama hapa bongo kwetu dollar siyo pesa inayoweza tumika kirahisi ni hadi uende bank au bureau de change ndo upate tsh uweze kuzitumia. Na kwenye bank au de change kuna vifaa vya kugundua fake na harali, je hawa wanaotengeneza hizi dolar wanaziingizaje mtaani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya inaendeshwa na uchumi haramu, kila kitu sasa hadharani kuanzia fedha bandia za Kenya Shillings, Euros, US Dollars mpaka madini feki. Bado walewanaoenda na fork-lift kungoa ATM machines na wanaochimba mahandaki mpaka ndani ya benki kuiba.
 
Hizi fedha zikiingia kwenye mzunguko wao wanafaidika na nn?
 
Back
Top Bottom