Picha: Wachezaji sita wa Yanga watimuliwa kwa kushindwa kulipa kodi Kariakoo

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Yumo Sonso, Adeyumi, Makame na Balama. Yaani nyumba ya vyumba viwili na sebule wachezaji walikuwa wanaishi sita kukiwa na kitanda kimoja na magodoro.

Hapo lazima lile moja alilopewa balama na GSM lilikuwepo. So sad kwa kweli, imebidi wahamie mkwajuni kwenye nyumba ya bei nafuu.

GSM wanalipa wachezaji wachache waliowasajili wao na yule kocha. Dah walipeni hawa wachezaji jamani!

1.png
Screen Shot 2020-02-27 at 11.56.20 AM.png
Screen Shot 2020-02-27 at 11.58.01 AM.png
Screen Shot 2020-02-27 at 11.58.10 AM.png
Screen Shot 2020-02-27 at 11.58.18 AM.png
Screen Shot 2020-02-27 at 11.56.20 AM.png
 
Mpira pesa kama timu haina pesa usitegemee itafanya vizuri uwanjani,
Kama wachezaji hawapati huduma bora wanakuwa full stress,hakuna mafanikio ya timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kirikuu ilishindwa kutosha likaja hilo hapo, kuna swali jingine? au hao sio wachezaji wenyewe? hiyo issue inajulikana kariakoo nzima,walipeni mishahara yao bana, kina yikpe lamine moro wanalipwa na gsm hawa wana njaa mkifungwa mnailaumu simba
kweli mkuu tena inatakiwa waishi sehemu zilizotulia siyo kariakoo au kinondoni
 
Mbumbumbu ni mbumbumbu tu. Kwahiyo hapo kuna mchezaji hata mmoja? Mleta mada ni nyauuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
nimabie we pka la jalalani,angalia hii habari halafu ilikuwaje wachezaji sita wanakaa nyumba moja,kitanda kimoja?wengine wanalala chini kwenye magodoro?vyumba viwili na sebule,yaani wachezaji watatu chumba kimoja?kudadadeki walahi,dah vyura hovyoooo kabisa
Screen Shot 2020-02-27 at 1.45.31 PM.png
 
Yanga Mna Matatizo Gani, Tazameni Wenzenu Simba Walivyochangamka!!!!! 😅😄😃😂😁🤣

Yanga Bariidii Haina Mvuto 🤨😑😏😏😐😶😶🤨😑
 
Yumo Sonso, Adeyumi, Makame na Balama. Yaani nyumba ya vyumba viwili na sebule wachezaji walikuwa wanaishi sita kukiwa na kitanda kimoja na magodoro.

Hapo lazima lile moja alilopewa balama na GSM lilikuwepo. So sad kwa kweli, imebidi wahamie mkwajuni kwenye nyumba ya bei nafuu.

GSM wanalipa wachezaji wachache waliowasajili wao na yule kocha. Dah walipeni hawa wachezaji jamani!

View attachment 1370345View attachment 1370346View attachment 1370347View attachment 1370348View attachment 1370349View attachment 1370346
Cha ajabu nini
 
WENYEWE WANAKUAMBIA NJAA IMEISHA TEAM INATUMIA GPS VEST MOJA MILION 30 ,WANAKUAMBIA GSM ANATOA HELA BALAA. KWENDENI HUKOOOOOOOO WACHEZAJI SITA ROOM MBILI,WAMEJAZA MADISH TU KITANDA KIMOJA, SHUBAMIT.
 
nimabie we pka la jalalani,angalia hii habari halafu ilikuwaje wachezaji sita wanakaa nyumba moja,kitanda kimoja?wengine wanalala chini kwenye magodoro?vyumba viwili na sebule,yaani wachezaji watatu chumba kimoja?kudadadeki walahi,dah vyura hovyoooo kabisa
View attachment 1370456
Sasa mbona ulikuwa unasema wamefukuzwa? Au na wewe ni pakashume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yumo Sonso, Adeyumi, Makame na Balama. Yaani nyumba ya vyumba viwili na sebule wachezaji walikuwa wanaishi sita kukiwa na kitanda kimoja na magodoro.

Hapo lazima lile moja alilopewa balama na GSM lilikuwepo. So sad kwa kweli, imebidi wahamie mkwajuni kwenye nyumba ya bei nafuu.

GSM wanalipa wachezaji wachache waliowasajili wao na yule kocha. Dah walipeni hawa wachezaji jamani!

View attachment 1370345View attachment 1370346View attachment 1370347View attachment 1370348View attachment 1370349View attachment 1370346
Hao ndio Mabingwa wa kihistoria hata kodi ya pango inawashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom