nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
mkuu hii si kirikuu
mkuu hii si kirikuu
kweli mkuu tena inatakiwa waishi sehemu zilizotulia siyo kariakoo au kinondonikirikuu ilishindwa kutosha likaja hilo hapo, kuna swali jingine? au hao sio wachezaji wenyewe? hiyo issue inajulikana kariakoo nzima,walipeni mishahara yao bana, kina yikpe lamine moro wanalipwa na gsm hawa wana njaa mkifungwa mnailaumu simba
nimabie we pka la jalalani,angalia hii habari halafu ilikuwaje wachezaji sita wanakaa nyumba moja,kitanda kimoja?wengine wanalala chini kwenye magodoro?vyumba viwili na sebule,yaani wachezaji watatu chumba kimoja?kudadadeki walahi,dah vyura hovyoooo kabisaMbumbumbu ni mbumbumbu tu. Kwahiyo hapo kuna mchezaji hata mmoja? Mleta mada ni nyauuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu niniYumo Sonso, Adeyumi, Makame na Balama. Yaani nyumba ya vyumba viwili na sebule wachezaji walikuwa wanaishi sita kukiwa na kitanda kimoja na magodoro.
Hapo lazima lile moja alilopewa balama na GSM lilikuwepo. So sad kwa kweli, imebidi wahamie mkwajuni kwenye nyumba ya bei nafuu.
GSM wanalipa wachezaji wachache waliowasajili wao na yule kocha. Dah walipeni hawa wachezaji jamani!
View attachment 1370345View attachment 1370346View attachment 1370347View attachment 1370348View attachment 1370349View attachment 1370346
Sasa mbona ulikuwa unasema wamefukuzwa? Au na wewe ni pakashumenimabie we pka la jalalani,angalia hii habari halafu ilikuwaje wachezaji sita wanakaa nyumba moja,kitanda kimoja?wengine wanalala chini kwenye magodoro?vyumba viwili na sebule,yaani wachezaji watatu chumba kimoja?kudadadeki walahi,dah vyura hovyoooo kabisa
View attachment 1370456
Hao ndio Mabingwa wa kihistoria hata kodi ya pango inawashindaYumo Sonso, Adeyumi, Makame na Balama. Yaani nyumba ya vyumba viwili na sebule wachezaji walikuwa wanaishi sita kukiwa na kitanda kimoja na magodoro.