PICHA: Wachina wakishangaa muwakilishi wa nchi yenye njaa akiwa mnene kuzidi wao watoa msaada

PICHA: Wachina wakishangaa muwakilishi wa nchi yenye njaa akiwa mnene kuzidi wao watoa msaada

Hao wachina ndio wamekwambia hivyo.Au ndo yale yale ya mkiona picha tu mnaitungia stori.
 
Huyo dada mwenye nguo nyeusi anaangalia nn kwenye vishkizo vya Atwoli au macho yake yana kifaa cha kuangalia ndani ya tumbo anahesabu magonjwa ya mzee Atwoli?
 
Back
Top Bottom