Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa ujumla maandalizi yamekamilika .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha! Ha! Ha!Bora wametoa hizo ndumba walizoweka wana yanga ili kuisadia nkana
Haya mambo haya !daaaah! Manara yupo kipembeni hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora wametoa hizo ndumba walizoweka wana yanga ili kuisadia nkana
Inawezekana ni wana yanga wamevaa jezi za simba kuficha ushahidi[emoji23][emoji23]Bora wametoa hizo ndumba walizoweka wana yanga ili kuisadia nkana
Inawezekana ni wana yanga wamevaa jezi za simba kuficha ushahidi[emoji23][emoji23]
Haisaidii kitu mkuuHaya mambo haya !
FIFA wanasisitiza sana ubora wa dimba mkuuHaisaidii kitu mkuu
Mkifungiwa au kupigwa fine msilalamike Yanga kuwahujumuCAF wanasisitiza sana ubora wa viwanja ili kuepusha malalamiko .
sasa mkuu kumwagia uwanja tu tufungiwe !Mkifungiwa au kupigwa fine msilalamike Yanga kuwahujumu
Hapo nkana hatokiView attachment 975220
Kwa ujumla maandalizi yamekamilika .
Kwa hiyo hawa ndo wachina [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 975220
Kwa ujumla maandalizi yamekamilika .
Fikicha macho mjomba mbona ni akina Hi ho hao ?Kwa hiyo hawa ndo wachina [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Game hii uwanja haujamwagiwa maji ?View attachment 975220
Kwa ujumla maandalizi yamekamilika .