Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
kwani kumwagia uwanja kuna tatizo gani mkuu ?Yanga naona mnatapatapa sasa, mlitutia aibu kwa malindi sisi tumeifuta, bdo mnaendelea kutapatapa, hii picha ya karne iliyopita lakini mtu anaipost aaaaaah subirini dawa iwaingie
Sent using Jamii Forums mobile app