Picha: Wajumbe wa CCM Wilaya ya Kinondoni washiriki Mkutano Mkuu Maalum, Gwajima hajaonekana

Picha: Wajumbe wa CCM Wilaya ya Kinondoni washiriki Mkutano Mkuu Maalum, Gwajima hajaonekana

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu,

Aliyekua Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima hajaonekana kwenye mkutano mkuu maalum wa CCM, au ndo kashiriki Mtandaoni?

5567.png




​
 
Wakuu,

Aliyekua Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima hajaonekana kwenye mkutano mkuu maalum wa CCM, au ndo kashiriki Mtandaoni?

View attachment 3419464



​
Mjumbe unaenda CCM yoyote kwani Katambi na Mama Salma Kikwete ni wajumbe wa NEC kupitia Kinondoni ...Gwajima na Mpina walishaiupuza CCM ya Samia hivo kushiriki vikao vyao ni sawa na kunajisi nafsi zao.
 
Daaaah sura zao hazina Furaha. Poleni
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom