Picha: Wananchi Wajitokeza kwa Wingi kwenye Mikutano ya Baraza la KATIBA inayoendeshwa na CHADEMA

Picha: Wananchi Wajitokeza kwa Wingi kwenye Mikutano ya Baraza la KATIBA inayoendeshwa na CHADEMA

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801
August 22nd 2013​

MKUTANO WA CHADEMA MBEYA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa jiji la Mbeya, katika mkutano wa hadahara wa Mabaraza ya Wazi ya kujadili rasimu ya katiba, uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe. (Picha na Joseph Senga)

at 1:58 PM

WEDNESDAY, AUGUST 21, 2013

WAKAZI WA GAIRO WAJITOKEZA KWA WINGI KWENYE MKUTANO WA BARAZA LA KATIBA

Posted by Chadema Blogtz at 12:02 AMNo comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook

TUESDAY, AUGUST 20, 2013

TASWIRA : MIKUTANO YA MABARAZA YA KATIBA

Mheshimiwa Freeman Mbowe akiwa kwenye mkutano wa baraza la katiba Nzega.

Mh Freeman Mbowe akiwa Ngaruka kwenye mkutano wa baraza la katiba.

Mh Tundu Lissu akiwa Nzega kwenye mkutano wa baraza la Katiba

Wakazi wa Kasulu waliojitokeza kwenye mkutano wa baraza la katiba.

>Kwa jitihada waifanyayo Chadema, wanastahili haki yao.

>Hapa wakiwa Mbeya pia, jana tar 22-08-2013.
 
Attachments

  • SAM_0227.JPG
    SAM_0227.JPG
    215.6 KB · Views: 167
  • SAM_0220.JPG
    SAM_0220.JPG
    211 KB · Views: 169
  • SAM_0230.JPG
    SAM_0230.JPG
    191.8 KB · Views: 180
  • SAM_0219.JPG
    SAM_0219.JPG
    141.1 KB · Views: 142
  • SAM_0218.JPG
    SAM_0218.JPG
    215.4 KB · Views: 154
Maswali kwa viongozi wa CDM. Chadema mnaunga mkono serikali tatu - that's fine hata mie naunga. Lakini sera yenu ni serikali za majimbo na rasimu ya katiba imeshakataa. Je mtaendelea na sera yenu hiyo au ndio imeshazikwa? Je mtaendeshaje majimbo ndani ya serikali 3? Naomba majibu tafadhali.
 
serikali ya majimbo haimaanishi kuwa kutakuwa na rais kila jimbo
 
Maswali kwa viongozi wa CDM. Chadema mnaunga mkono serikali tatu - that's fine hata mie naunga. Lakini sera yenu ni serikali za majimbo na rasimu ya katiba imeshakataa. Je mtaendelea na sera yenu hiyo au ndio imeshazikwa? Je mtaendeshaje majimbo ndani ya serikali 3? Naomba majibu tafadhali.

Kila kitu hupangwa na kupanguliwa na mwanadamu!
Kwa hiyo ukishajua faida za serikali za majimbo, itakuwa rahisi kuchangia mawazo ya namna ya kuziendesha!
 
Mimi naitaka tu hiyo serikali ya majimbo,ili mapato yetu yabaki hapa hapa.
 
Kila kitu hupangwa na kupanguliwa na mwanadamu!
Kwa hiyo ukishajua faida za serikali za majimbo, itakuwa rahisi kuchangia mawazo ya namna ya kuziendesha!

Sijakuelewa mkuu. Ndio tuseme majimbo yameshazikwa?
 
Sijakuelewa mkuu. Ndio tuseme majimbo yameshazikwa?

Nilichomaanisha ni kwamba mwanadamu anayo akili ya kufanikisha usichotarajia!
Kwa hiyo wasiwasi wako wa kuendesha serikali za majimbo ndani ya serikali 3, utawezekana kwa mfumo ambao utaamuliwa na wadau!
CHADEMA hawatawali, wanaongoza!
 
Nimekuelewa mkuu. Waelimisheni basi wananchi ili waelewe faida za majimbo maana mpaka sasa hawaelewi kitu wanaburuzwa tu na jamaa wa magogoni.

asante pia nemeipenda hii "CHADEMA hawatawali, wanaongoza! na iwe basi hivyo kwa vitendo!
 
Mungu azidi kuwatangulia CHADEMA...mwendo mudundo..hakuna kulala mpaka kieleweke. VIVA CHADEMA!
 
Back
Top Bottom