PICHA: Wananchi wengi wajitokeza kuomba ajira za muda za NEC. Kwa kweli kama nchi tumefika pabaya

Hii hali kila sehemu watu ni wengi wanapeleka maombi kwenye ofisi ya msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo,yani kuna tatizo kubwa la ajira watu wanasotea posho ya siku moja maisha yaende
na huku kwetu mpaka upate hiyo kazi ya NEC mpaka uwe na Kadi ya ccm ila hili halizungumzwi kwa uwazi ni siri ya mkurugenzi, kwa watumishi wa umma lazima upeleke na salary slip ya September
 

Attachments

  • Screenshot_20200924-111913.jpeg
    39.4 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…