PICHA: Wananchi wengi wajitokeza kuomba ajira za muda za NEC. Kwa kweli kama nchi tumefika pabaya

Ila mambo hata bn,huku kuna wilaya hadi ilitangaza Mara ya pili watu waombe maana walkua wachache
 
Hafu wanasiasa wakiwa majukwaani wanasema nchi yetu iko uchumi wakati, time create ajira laki moja
 
na huku kwetu mpaka upate hiyo kazi ya NEC mpaka uwe na Kadi ya ccm ila hili halizungumzwi kwa uwazi ni siri ya mkurugenzi, kwa watumishi wa umma lazima upeleke na salary slip ya September
Sasa huyo mtumishi ana kazi kwanini asimwachie huyo kijana asiyejua kesho yake
 
Hafu wanasiasa wakiwa majukwaani wanasema nchi yetu iko uchumi wakati, time create ajira laki moja
Sio wana siasa mkuu ni CCM
Wengine ni viongozi serikalini. Huwa nashangaa sana hivi huwa wana maanisha au wanajua fika kuwa wanatupiga fix
 
Hii hali ilivokua kwa jimbo la temeke
 

Attachments

  • IMG_20201007_014453_188.jpg
    100.3 KB · Views: 1
Unaweza kuta kwenye hizo foleni kuna watumishi pia wa serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…