Picha: Wanawake sasa hizi sifa mmezidi

Kusoma najua lakini kuangalia picha nimeshindwa. Mwanamke kuendesha DEFENDER Tdi au?
Sasa wewe unaona swala dogo mwanamke atembelee hiyo halafu kuna wanaume wana passo na wamebandika L (leaner)?
 
Yes man.......nawafahamu wakinadada/mama mob wanaendesha magari "yakibishi". Arusha kipande hii kawaida....wadada/mama wakizungu wanavunja gia kama hawana akili nzuri. Wewe unaishi wapi? Dar? Kama ndivyo huko nadhani mazingira/mazoea yanamtaka mwanamke awe legelega kuanzia kimuonekano, ideas hadi mavazi na gari analotumia. Binafsi sipendi mwanamke/jamii inaongozwa na attitude yanamna hii. Mwanamke inatakiwa aonekane strong aendeshe chochote anachopenda...ndio life inaenda ivyo in this 21st century.
 
Sasa wewe unaona swala dogo mwanamke atembelee hiyo halafu kuna wanaume wana passo na wamebandika L (leaner)?
Hahaha mkuu umenichekesha,umenikumbusha ule utani wa wanaume wa DSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…