Picha wanazopenda kuangalia wanawake kwenye simu zao

Picha wanazopenda kuangalia wanawake kwenye simu zao

Wanawake bwana huwa ni viumbe wa aina yake kama mambo yao yalivyo tu.

Unaweza mkuta katulia zake ukafikiri kuna jambo moja serious Sana analifanya kumbe,

Ataperuze picha kulingana na tukio lililoko mbele yake au analolitamani litokee,

1. Kama ni mja mzito ;

Atakua anaangalia vinguo vya watoto wa kiume na kike.

2. Kama anakaribia kuolewa au ana tamani kuolewa;

Atakua anatazama picha za magauni ya Harusi au picha za harusi za ndugu zake au marafiki.

3. Kama kashaolewa ;

Atakua anaangalia picha za mapazia na vitu vingine vya ndani kama maforonya etc.

4. Kama hajaolewa ila financially yuko stable au ana sponsor ;

Atakuwa anaangalia picha za mabegi mapya, style mpya za misuko, rangi za kucha, kope, viatu vipya, magauni , perfume, lipstick n.k.

Hao ndio wanawake na picha wanazopenda kuangalia kwenye simu zao.

Surething bro [emoji817]
 
Back
Top Bottom