Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kanda ya kusini pekee haiwez kuwapatia Chadema ushindi.Nilikuwa Tunduma hapo ni Chadema sio Mchezo
Sio kweli mkuu. Ni uzushi wa mitandaon tuPole sana Mr stroke najua unapitia magumu sana kwenye kumtetea bwana yule, eti ni kweli Kagera wamkataa na kumzomea?
Sawa mkuu, ila Jiwe kwanini hapendwi na Watanzania wengi wanaojitambua?Sio kweli mkuu. Ni uzushi wa mitandaon tu
Kwa sababu hajitambui. Nafasi aliyopo ni kubwa kuliko uwezo wake.Sawa mkuu, ila Jiwe kwanini hapendwi na Watanzania wengi wanaojitambua?
Kasemaje ?Leo katukana [emoji23][emoji23]
Halafu tiiibiisiiii ikazimika kwa mshtukoNasikia kuna mgombea ameambiwa.
HATUKUTAKIIIIIIIII
Sijui ni kweli au stori tu
Unawashwa wewe, kwani hao hawakukusanyika kwa ajili ya cdm au ilikuwa ccm?Dogo umeanza kufuatilia siasa baada ya Lisu kutoka ubelgiji siyo?
Hebu tazama hii ya miaka 10 iliyopita kisha niambie huyo Lisu wako anaingia mara ngapi hapo? View attachment 1571855View attachment 1571856View attachment 1571857View attachment 1571858View attachment 1571859
Mkuu huyo ana stress Kama mwenyekiti wake[emoji23][emoji23]Unawashwa wewe, kwani hao hawakukusanyika kwa ajili ya cdm au ilikuwa ccm?
Hebu jaribu kufikiria kwa kutumia hayohayo mavi yaliyomo kichwa mwako.
Kama upinzani ungefanya siasa miaka 5 iliyofanya ccm hali ingekuwaje kwa ccm?
Miaka5 bila siasa, hata mwezi haufika mtiti ndiyo huo, mtajinyea mwaka huu.
MWIBA HUTOKEA ULIPOINGILIA
By 100%Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu
Nanyie hamjazuiwa kupiga za kwenuHii mmeipiga angle ya mbali Sana ili watu waonekane wengi.
Umewapa za uso, leo hawaoni ni vipofu,Na huyu ni Lowassa 2015.
Kiufupi huyu Lissu wako ni tone tu kwenye bahari
View attachment 1571861View attachment 1571862View attachment 1571863View attachment 1571864
Si huyu huyu alikuwa akisema Chadema imekufa?Crimea si uposti za magu?? Mbona unaumia sana.
Mimi nina ishi jirani na mapolice wanne huwaambii kitu wao ni CCM TU,Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu
USHINDI SIO LAZIMA AWE RAIS, HAPO ALIPO TU NI USHINDI.Nawasilimu wakazi wa JF!
Kuna picha zipo mtandaoni Lumumba wakiziona wanaumia mara mbili.
Hizi ni kama za Tundu Lissu akionesha Tabasamu lenye kuashiria Ushindi, Uso wa Lissu ni wenye furaha ya ndani kutoka kumoyo.
Hizi ni zile picha ambazo LISSU hatumii wanafunzi, Wasanii na kusomba watu kwa kuwapa elfu tano ili kujaza idadi.
Mama Nyerere aliongea wazi aliletwa kuongeza idadi hakuwa tayari kuja[emoji23][emoji23]
Basi naomba tuzitupie picha hapa, wakipaniki tunaongeza spana.
Ni yeye 2020.