Uchaguzi 2020 Picha wasizopenda kuziona Lumumba

Uchaguzi 2020 Picha wasizopenda kuziona Lumumba

Nawasilimu wakazi wa JF!

Kuna picha zipo mtandaoni Lumumba wakiziona wanaumia mara mbili.

Hizi ni kama za Tundu Lissu akionesha Tabasamu lenye kuashiria Ushindi, Uso wa Lissu ni wenye furaha ya ndani kutoka kumoyo.

Hizi ni zile picha ambazo LISSU hatumii wanafunzi, Wasanii na kusomba watu kwa kuwapa elfu tano ili kujaza idadi.

Mama Nyerere aliongea wazi aliletwa kuongeza idadi hakuwa tayari kuja[emoji23][emoji23]

Basi naomba tuzitupie picha hapa, wakipaniki tunaongeza spana.

Ni yeye 2020.

Nani kasema hilo tabasamu lake ni la ushindi...
Mwenzenu anaenjoy kula pesa za kampeni na mabeberu walizomfadhili.
 
Dah.. hayo mafuriko si mchezo. So, kwa kuwa huko nyuma ccm walishinda kwa wizi, unafikiri wataweza kuiba miaka yote?!
Kwa kuongezea sasa hivi ambapo vyombo vya habari vinamtangaza mgombea mmoja tu inamaana hii taarifa inayoleta nyomi kwa Lisu inaenda mtu kwa mtu na katika mazingira ambayo kuna hofu ya kukamatwa kuuwawa kutekwa n.k ina nguvu zaidi kuliko ile ya lowasa
 
Akiwa sumbawanga Leo.

Lissu hadi raha sio ile ingine[emoji23][emoji23]
IMG_20200917_191006.jpeg
 
Nawasilimu wakazi wa JF!

Kuna picha zipo mtandaoni Lumumba wakiziona wanaumia mara mbili.

Hizi ni kama za Tundu Lissu akionesha Tabasamu lenye kuashiria Ushindi, Uso wa Lissu ni wenye furaha ya ndani kutoka kumoyo.

Hizi ni zile picha ambazo LISSU hatumii wanafunzi, Wasanii na kusomba watu kwa kuwapa elfu tano ili kujaza idadi.

Mama Nyerere aliongea wazi aliletwa kuongeza idadi hakuwa tayari kuja[emoji23][emoji23]

Basi naomba tuzitupie picha hapa, wakipaniki tunaongeza spana.

Ni yeye 2020.

Picha bora kabisa ya mwaka! Hata mtoto wa Jiwe na mama yake wanaiweka wallpaper jiwe akiwa hayupo.
Huyu LISSU ni mpango wa MUNGU!
UENDELEE KUBARIKIWA BRAZA
 
Nani kasema hilo tabasamu lake ni la ushindi...
Mwenzenu anaenjoy kula pesa za kampeni na mabeberu walizomfadhili.
Wkt mwenzake anafurahia kula ufisadi wa uwanja wa chato, manunuzi ya ndege, sgr, ujenzi wa daraja lake Victoria na zike 1.5tn zilizopotea na kumuondoa CAG wetu mzalendo wa kweli
 
Siyo hao pekee,kwa wakulima wa korosho,mbaazi,pamba,kahawa?Kuna wafanyabiashara walionyanyaswa na TRA,wafugaji waliotimuliwa nchi nzima,watumishi waliotumbuliwa na kuambiwa wana vyeti feki,vijana walioongezewa makato ya HELSB,waliokosa ajira,Wananchi waliobomoleshwa nyumbani zao bila fidia?Orodha ya wahanga wa huyu Baba ni ndefu,tujitafakari!
Huh,,,,. Mr Pombe has destroyed each and every individual life in Tanzania
Still there is poor innocent Tanzanian will vote for Pombe
Pombe does not deserve to get even his own vote
 
Hazikupotea mkuu, kuna jizi moja la kihutu, liliagiza majambazi wenzake yakazipore hazina zitumike kwenye kununua binadamu na kufinance shughuli nyingine haramu ili majambazi yaendelee kubaki madarakani
So so sad yani. Ndio maana Tundu Lissu anauchungu sn na haya majizi ccm kuanzia mwenyekiti wao fisadi
 
Kuna mpiga kura kaomba barabara, akamjibu KWANI UMESIMAMA KWENYE MKOJO?

MZEE ANA STRESS BALAA[emoji23][emoji23]

..sasa katika situation kama hiyo usimuangalie Jpm.

..wewe muangalie Humphrey Polepole atakavyojikamua kucheka.

..Full unafiki.
 
Back
Top Bottom