Uchaguzi 2020 Picha wasizopenda kuziona Lumumba


Nani kasema hilo tabasamu lake ni la ushindi...
Mwenzenu anaenjoy kula pesa za kampeni na mabeberu walizomfadhili.
 
Dah.. hayo mafuriko si mchezo. So, kwa kuwa huko nyuma ccm walishinda kwa wizi, unafikiri wataweza kuiba miaka yote?!
Kwa kuongezea sasa hivi ambapo vyombo vya habari vinamtangaza mgombea mmoja tu inamaana hii taarifa inayoleta nyomi kwa Lisu inaenda mtu kwa mtu na katika mazingira ambayo kuna hofu ya kukamatwa kuuwawa kutekwa n.k ina nguvu zaidi kuliko ile ya lowasa
 
Picha bora kabisa ya mwaka! Hata mtoto wa Jiwe na mama yake wanaiweka wallpaper jiwe akiwa hayupo.
Huyu LISSU ni mpango wa MUNGU!
UENDELEE KUBARIKIWA BRAZA
 
Nani kasema hilo tabasamu lake ni la ushindi...
Mwenzenu anaenjoy kula pesa za kampeni na mabeberu walizomfadhili.
Wkt mwenzake anafurahia kula ufisadi wa uwanja wa chato, manunuzi ya ndege, sgr, ujenzi wa daraja lake Victoria na zike 1.5tn zilizopotea na kumuondoa CAG wetu mzalendo wa kweli
 
Huh,,,,. Mr Pombe has destroyed each and every individual life in Tanzania
Still there is poor innocent Tanzanian will vote for Pombe
Pombe does not deserve to get even his own vote
 
Hazikupotea mkuu, kuna jizi moja la kihutu, liliagiza majambazi wenzake yakazipore hazina zitumike kwenye kununua binadamu na kufinance shughuli nyingine haramu ili majambazi yaendelee kubaki madarakani
So so sad yani. Ndio maana Tundu Lissu anauchungu sn na haya majizi ccm kuanzia mwenyekiti wao fisadi
 
Kuna mpiga kura kaomba barabara, akamjibu KWANI UMESIMAMA KWENYE MKOJO?


MZEE ANA STRESS BALAA[emoji23][emoji23]

..sasa katika situation kama hiyo usimuangalie Jpm.

..wewe muangalie Humphrey Polepole atakavyojikamua kucheka.

..Full unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…