Uchaguzi 2020 Picha wasizopenda kuziona Lumumba

Lakini pamoja na yote hayo ukweli unabaki pale pale kuwa watu wamekichoka mno hiki chama ccm hata ccm wenyewe hili sasa hawalipingi.

Kinachokosekana hapa ni utaratibu tu wa kusimamia haki ili matakwa ya wananchi yaheshimiwe.

Mtu hawezi akanidanganya eti chama chochote kinaweza kikatawala miaka sitini eti bado kikabaki kinapendwa na watu huku watu wenyewe wakiwa masikini wa kutupwa. Si kweli kabisa.
 
Lisu hana ushawishi kabisa mbona iko wazi
Mwenye ushawishi ni hiyo anayetugombeza?Hatuheshimu Sisi waajiri wake halafu anatarajia tumpe kazi?Big "NO" na atupishe maana hatumsukumizii tena.Mitano inatosha na twasema "Sasa Basi".
 
Mwenye ushawishi ni hiyo anayetugombeza?Hatuheshimu Sisi waajiri wake halafu anatarajia tumpe kazi?Big "NO" na atupishe maana hatumsukumizii tena.Mitano inatosha na twasema "Sasa Basi".
Mfua nguo hutakata mikono yake. weka hilo akilini mkuu
 
Anacheka kama zuzu!!
 
Mbona kama "kalegealegea" hivi!!!
 
Dah.. hayo mafuriko si mchezo. So, kwa kuwa huko nyuma ccm walishinda kwa wizi, unafikiri wataweza kuiba miaka yote?!
"Tutapiga kura na kuzilinda". Kauli hiyo IGP Sirro kaijibu kuweka mkwara mzito. NEC CCM boss wao amejibu na mkwara mkubwa, KWA NINI WANAOGOPA WATU KULINDA KURA ZAO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…