Picha: Watangazaji E FM hoi taabani baada ya kusikia kuwa polisi ndio wezi wa vifaa vya ujenzi SGR

Picha: Watangazaji E FM hoi taabani baada ya kusikia kuwa polisi ndio wezi wa vifaa vya ujenzi SGR

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
6,813
Reaction score
11,540
Screenshot_20230119-115621.png


Tutafika kweli anaetakiwa kukamata wezi nae mwizi.
 
Sasa hapo ndio mtamuelewa Trump kwanini alisema nchi za Afrika ni "SHIT HOLE COUNTRIES", polisi wanaiba vifaa vya ujenzi wa reli kwa faida ya nchi yao. Waafrika ni wapumbavu kuliko rangi zote hii kitu haingii akilini ukimueleza mzungu au mtu wa rangi ingine. Miafrika ndivyo ilivyo.
 
Ni vyema ungeeandika hbr kamili kuliko kuleta headline za kitenge na ubunifu wake wa ziroooo
 
Kuwa mwangalifu sana kwa sababu bado hawajatajwa mahali kama ni Polisi, Kwa sasa wanaweza kuwa ni washukiwa tu au wanasingiziwa kabisa
Uangalifu wa nini Mkuu sehemu zenye ulinzi vile wahuni bila ramani za wahusika na kupata back up kutoka watu hao ni ngumu kuiba watu waibe lita 4200 za mafuta watoke wapi hao kama sio hao hao...mbona pana kesi nyingi zinazowahusu wao na muda mwingine kuua kabisa au na wewe ni Njagu nini Mkuu...
 
Back
Top Bottom