Picha: Watangazaji E FM hoi taabani baada ya kusikia kuwa polisi ndio wezi wa vifaa vya ujenzi SGR

Kwa kweli hii ni aibu Tena kubwa
 
Wanufaika toka pande Mbili Kuanzia ndani kuja nje na nje kurudi ndani.
 
Kuwa mwangalifu sana kwa sababu bado hawajatajwa mahali kama ni Polisi, Kwa sasa wanaweza kuwa ni washukiwa tu au wanasingiziwa kabisa
Wao mbona wanatushika raia ht kabla ya utetezi haujafika nusu hatua,,
 
Sisemi napita nitarudi baadae.
 
Hilo nalo la kushanga,hawa vepe

Ova
 
Hakuna cha ajabu kwani CCM imewahusisha polisi kwenye wizi wa kura hivyo maji hufuata mkondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…