Pre GE2025 Picha: Watia nia ya Uenyekiti wa Kanda wakisubiri matokeo ya Usaili Makao Makuu ya Chadema, Mikocheni

Pre GE2025 Picha: Watia nia ya Uenyekiti wa Kanda wakisubiri matokeo ya Usaili Makao Makuu ya Chadema, Mikocheni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa ukisema wanachama wapige kura kwenye APP ya chama sio ndo hapo mamluki watapandikizwa na kupigiwa kura na wasio wana chadema ?? we vipi ?? mbona CCM hamfanyi hivo ??
 

Huyo Dickson Matata kaomba Uenyekiti wa Kanda ya Magharibi, huku Joseph Mbilinyi akiomba nafasi hiyo Kanda ya Nyasa.

Swali ni Je Watatoboa?
Huyu Dickson Matata ndiye yule wakili msomi wa timu Kibatala kwenye kesi ya ugaidi wa Freeman Mbowe?

Duuh, kama ndiye kumbe CHADEMA imebeba watu siku hizi
 
Mzee Joseph Mbilinyi apunguze utoto sasa wa kuvuta bangi na kushinda bar akilewa makonyagi..umri ushamtupa
 
Back
Top Bottom