B Benderea JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 686 Reaction score 1,303 May 14, 2024 #21 Sasa ukisema wanachama wapige kura kwenye APP ya chama sio ndo hapo mamluki watapandikizwa na kupigiwa kura na wasio wana chadema ?? we vipi ?? mbona CCM hamfanyi hivo ??
Sasa ukisema wanachama wapige kura kwenye APP ya chama sio ndo hapo mamluki watapandikizwa na kupigiwa kura na wasio wana chadema ?? we vipi ?? mbona CCM hamfanyi hivo ??
The Palm Beach JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 1,967 Reaction score 4,267 May 14, 2024 #22 Erythrocyte said: View attachment 2989973 Huyo Dickson Matata kaomba Uenyekiti wa Kanda ya Magharibi, huku Joseph Mbilinyi akiomba nafasi hiyo Kanda ya Nyasa. Swali ni Je Watatoboa? Click to expand... Huyu Dickson Matata ndiye yule wakili msomi wa timu Kibatala kwenye kesi ya ugaidi wa Freeman Mbowe? Duuh, kama ndiye kumbe CHADEMA imebeba watu siku hizi
Erythrocyte said: View attachment 2989973 Huyo Dickson Matata kaomba Uenyekiti wa Kanda ya Magharibi, huku Joseph Mbilinyi akiomba nafasi hiyo Kanda ya Nyasa. Swali ni Je Watatoboa? Click to expand... Huyu Dickson Matata ndiye yule wakili msomi wa timu Kibatala kwenye kesi ya ugaidi wa Freeman Mbowe? Duuh, kama ndiye kumbe CHADEMA imebeba watu siku hizi
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 May 14, 2024 Thread starter #23 The Palm Beach said: Huyu Dickson Matata ndiye yule wakili msomi wa timu Kibatala kwenye kesi ya ugaidi wa Freeman Mbowe? Duuh, kama ndiye kumbe CHADEMA imebeba watu siku hizi Click to expand... Ndiye
The Palm Beach said: Huyu Dickson Matata ndiye yule wakili msomi wa timu Kibatala kwenye kesi ya ugaidi wa Freeman Mbowe? Duuh, kama ndiye kumbe CHADEMA imebeba watu siku hizi Click to expand... Ndiye
CCM MKAMBARANI JF-Expert Member Joined Mar 15, 2017 Posts 2,031 Reaction score 1,514 May 14, 2024 #24 Erythrocyte said: Hicho ndio kinakuliza? Click to expand... Ndio,nakuonea huruma konyagi za mwenyekiti zitakuua
Erythrocyte said: Hicho ndio kinakuliza? Click to expand... Ndio,nakuonea huruma konyagi za mwenyekiti zitakuua
CCM MKAMBARANI JF-Expert Member Joined Mar 15, 2017 Posts 2,031 Reaction score 1,514 May 14, 2024 #25 Ulongupanjala said: Hata wewe utapewa mgao inaonekana unapenda pesa za bure. Karibu upakuliwe yakhe. Click to expand... Mimi sichukui pesa chafu za rushwa huko chadema
Ulongupanjala said: Hata wewe utapewa mgao inaonekana unapenda pesa za bure. Karibu upakuliwe yakhe. Click to expand... Mimi sichukui pesa chafu za rushwa huko chadema
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 16,464 Reaction score 35,629 May 14, 2024 #26 Na kubali sana Wakili Dickson Matata
U Ujamaa ni mhimu JF-Expert Member Joined Sep 30, 2022 Posts 1,203 Reaction score 1,011 May 14, 2024 #27 Erythrocyte said: Hela hizo Click to expand... Ndio kawa kikongwe namna hiyoo, akaleeee wajukuuu. Fedha zinamumodoa mtu hazimzeeshi bwanaa. Alidhani biashara ya hotel ni nyepesi saaana.
Erythrocyte said: Hela hizo Click to expand... Ndio kawa kikongwe namna hiyoo, akaleeee wajukuuu. Fedha zinamumodoa mtu hazimzeeshi bwanaa. Alidhani biashara ya hotel ni nyepesi saaana.
Ziroseventytwo JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 8,581 Reaction score 15,618 May 14, 2024 #28 Dah sugu kashakuwa mzee. Haya maisha haya....
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 May 14, 2024 #29 Mzee Joseph Mbilinyi apunguze utoto sasa wa kuvuta bangi na kushinda bar akilewa makonyagi..umri ushamtupa
Mzee Joseph Mbilinyi apunguze utoto sasa wa kuvuta bangi na kushinda bar akilewa makonyagi..umri ushamtupa