Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,705
- 1,953
Dege la kivita limetua majini nchini Marekani toka Novemba 20, wiki mbili sasa. Ni baada ya rubani kupitiliza runway ya uwanja kama Precision ya Bukoba
Sasa wanasema wanahitaji mamilioni ya dollar kuichomoa, na ukisoma hiyo article bado wanajadili njia muafaka ni ipi
Sisi tulivuta kwa kamba the same freaking night.
Tukitulia tutakuja fika tu, ni watu wetu tunaowachagua ndio wanatuangusha tusisonge.
Yahoo News