Lengo la Uzi ni kujisifu kuwa sisi tumeivuta ndege kwa kamba na wamarekani wameshindwa kuivuta ndege yao kwa kwamba.
VUTA VUTA THREAD
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hivi liko wapi kwa sasa?Wana calculate risk kwanza sisi lile dude tulilovuta na kamba nadhani uliona screpa tupu pale
Asante umeifanya asubuhi yangu .Anold na Rambo mbona wanalivuta hadi nje hakuna haja ya kuharibu hela
Wamuongeze na dudekofu
Wasubiri Majaliwa amalize kozi aende awasaidie.
Dege la kivita limetua majini nchini Marekani toka Novemba 20, wiki mbili sasa. Ni baada ya rubani kupitiliza runway ya uwanja kama Precision ya Bukoba
Sasa wanasema wanahitaji mamilioni ya dollar kuichomoa, na ukisoma hiyo article bado wanajadili njia muafaka ni ipi
Sisi tulivuta kwa kamba the same freaking night.
Tukitulia tutakuja fika tu, ni watu wetu tunaowachagua ndio wanatuangusha tusisonge.
Yahoo News