Darius
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,951
- 320
Kwa hiyo ww ulianza kufika kabla ya huyo msanii wa economy class. Kwani nini maana ya economy we mswahili mwenye mbwembwe
hilo nalo neno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo ww ulianza kufika kabla ya huyo msanii wa economy class. Kwani nini maana ya economy we mswahili mwenye mbwembwe
mijitu mingine sifaa tuu mkuu...,usijekuta kahadithiwaa
Kula like mkuuu,mimtu ya humu ndivyo ilivyo,ikishaona tu mtu yupo hatua flan mbele,ni shidaaNjaa wivu na chuki ndio vinamsumbuwa, Diamond alikwenda kwenye show Mwanza na alikodi ndege sasa muulize huyo ushuzi ameshawahi kukodi ndege tangu azaliwe?
ndio wanakozitoa,wanatoa vipicha na story kwenye blog na insta wanawaletea humu eti exclusive na hawana info zozote za uhakika,... nishawaambia info yoyote kuhusu diamond yenye uhakika ,inawekwa thisisdiamond,fan page yake na IG,bhhasiHahaaa sio usikute ni kwwli kaadithiwa na kusoma blogu.
Kwa hiyo ww ulianza kufika kabla ya huyo msanii wa economy class. Kwani nini maana ya economy we mswahili mwenye mbwembwe
Amini tu mana kuna mawigi kwahiyo anaweza kuwa amevaa tu hizo nywele....Hapo ndo napata shida kuanin hio thread
Kweli kabisa mawigi yanatusaidia wengi....Chezeya mawigi weweee!
nahisi walitoka kulala-na na hiyo ni asubuhiKila la kheri domo.....eh wema kipara umepeleka wapi...?
Kula like mkuuu,mimtu ya humu ndivyo ilivyo,ikishaona tu mtu yupo hatua flan mbele,ni shidaa
Acha kabisa ila mawigi yana save muda sana...dakika sifuri ushabadilika....nahisi walitoka kulala-na na hiyo ni asubuhikwa hiyo ni kutupia wigi mu kichwa na Dila kumwili bila pichuchezeya kumuaga Domo (Diamond) mtajuaje hawajaachana?
Jamani hii ni asubuhi ya saa ngapi? mbona tunafanyana wote kama mazuzu?