Picha: Wema akimsindikiza baby wake Diamond Uwanja wa Ndege

Nimepitwaaa aiseee kumbe mahaba niueee
 
Njaa wivu na chuki ndio vinamsumbuwa, Diamond alikwenda kwenye show Mwanza na alikodi ndege sasa muulize huyo ushuzi ameshawahi kukodi ndege tangu azaliwe?
Kula like mkuuu,mimtu ya humu ndivyo ilivyo,ikishaona tu mtu yupo hatua flan mbele,ni shidaa
 
Hahaaa sio usikute ni kwwli kaadithiwa na kusoma blogu.
ndio wanakozitoa,wanatoa vipicha na story kwenye blog na insta wanawaletea humu eti exclusive na hawana info zozote za uhakika,... nishawaambia info yoyote kuhusu diamond yenye uhakika ,inawekwa thisisdiamond,fan page yake na IG,bhhasi
 
Kila la kheri domo.....eh wema kipara umepeleka wapi...?
nahisi walitoka kulala-na na hiyo ni asubuhi
kwa hiyo ni kutupia wigi mu kichwa na Dila kumwili bila pichu
chezeya kumuaga Domo (Diamond)
mtajuaje hawajaachana?
 
nahisi walitoka kulala-na na hiyo ni asubuhikwa hiyo ni kutupia wigi mu kichwa na Dila kumwili bila pichuchezeya kumuaga Domo (Diamond) mtajuaje hawajaachana?
Acha kabisa ila mawigi yana save muda sana...dakika sifuri ushabadilika....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…