Mhh mkuu, mimi nikuunganishe tena, ingia kwenye account yake ya instagram mtaelewana kama bank account yako ina someka.Niunganushe nae aise, ili tuwe na ile kitu wanaita happy ending!.
Anatafutwa na mungu wa dar bora akajifiche SingidaAmerudi na mradi gani kuturambisha ndimu?
Kuitwa polisi kwa kashfa ya madawaEti tutarajie makubwa kutoka kwake..!!
Kama yapi mfano??
Skendo..??!!
Ndio ivyo tena ameshakuja kivingine..Kuitwa polisi kwa kashfa ya madawa
Mhh mkuu, mimi nikuunganishe tena, ingia kwenye account yake ya instagram mtaelewana kama bank account yako ina someka.
Mhh mkuu, mimi nikuunganishe tena, ingia kwenye account yake ya instagram mtaelewana kama bank account yako ina someka.
Ha ha ha.mbona mkali Ngabu??za siku??Yeah nipo....kwani vipi?
Heheee duuh...sasa ukali uko wapi hapo?Ha ha ha.mbona mkali Ngabu??za siku??
Nyota yke ni kupendwa na timu vigodoro na wadada wauza nyapu mjinianaji beep halafu anajipigia mfyuu